Ni Audi Q5 au Volkswagen Tiguan?

Miaka hiyo nasoma shule ya msingi kulikuwa na garage karibu ya kutengeneza suzuki tu modeli hii.
Mkuu
Chuma Hicho Hakina Fashion Unaingia Popote Fuel Inanusa Litre 1 Unakwenda Kilometres Tele
 
Kwa kuwa Audi ni luxury brand ya VW nadhani Tiguan itakuwa affordable na gharama za uendeshaji na service zitakuwa rahisi kuliko Q5. Kwa wazungu VW ni gari la wananchi wa kawaida kabisa
 
Kwa durability Tiguan ila naona ni kadogo kama dualis angalau Q5 kidogo inaukubwa.

Ungeongeza nguvu uchukue harrier 2014 au kama unajiweza zaidi Fortuner 2015.

Harrier 2014 macho ya panzi? Hii gari kali ila bajeti ndugu hapa ni zaidi ya 50m
 
Kwakuwa umeipenda Q5 chukua hiyo ili roho yako isuuzike maana zoote hizo ni za kizungu,kuzimiliki na kuzifanya ziende zinahitaji mambo mengi zaidi ya kuwa na uwezo wa kuzinunua
Mazda CX5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…