Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Miaka hiyo nasoma shule ya msingi kulikuwa na garage karibu ya kutengeneza suzuki tu modeli hii.Chuma Hicho Sasa
View attachment 2594116
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka hiyo nasoma shule ya msingi kulikuwa na garage karibu ya kutengeneza suzuki tu modeli hii.Chuma Hicho Sasa
View attachment 2594116
MkuuMiaka hiyo nasoma shule ya msingi kulikuwa na garage karibu ya kutengeneza suzuki tu modeli hii.
Kwa kuwa Audi ni luxury brand ya VW nadhani Tiguan itakuwa affordable na gharama za uendeshaji na service zitakuwa rahisi kuliko Q5. Kwa wazungu VW ni gari la wananchi wa kawaida kabisaWazee na wataalamu wa mandinga makali nakuja tena kwenu mnipe uchanganuzi wa hizo gari mbili. Ninaplan ya kuagiza gari ila mpaka sasa sijui niagizw ipi bado nakuwa dilemma kwenye kumake choice. Audi Q5 naielewa sana na jinsi ilivyokaa kibabe walahi inanipa mzuka sana, nikija kwa Volks Tiguan nayo naielewa sana na ilishakua kwenye plan zangu kitambo.
Sasa ndugu zangu mimi kuja hapa ni kunipa ushauri wa gari ipi nzuri mnayonishauri mimi kutoa pesa? Karibuni kwa majadiliano yenu.
Audi Q5:View attachment 2592245
View attachment 2592246
View attachment 2592247
Volkswagen Tiguan
View attachment 2592248
View attachment 2592249
Kwa durability Tiguan ila naona ni kadogo kama dualis angalau Q5 kidogo inaukubwa.
Ungeongeza nguvu uchukue harrier 2014 au kama unajiweza zaidi Fortuner 2015.
Ipo njema!Chuma Hicho Sasa
View attachment 2594116
Mazda CX5Kwakuwa umeipenda Q5 chukua hiyo ili roho yako isuuzike maana zoote hizo ni za kizungu,kuzimiliki na kuzifanya ziende zinahitaji mambo mengi zaidi ya kuwa na uwezo wa kuzinunua