Hahahaha,..Hebu tuione Mkuu
Kwa wageni hawawezi mtambua. Yule ni mmoja wa ajuza wa jf kwa kundi ke.ana busara kumbe, mimi simfatiliagi sana
Kulaleki
okngoja nitafute avatar yenye chura nibadili 🙄
Aisee
Huyo dem anaitwa zodwa wabantu.. kwa zuru natal
jina anaitwa naniYule aliyeleta post humu kwamba wanaume wa jf wengi wetu ni wa 'hovyo hovyo'...mabaharia wakavamia post yake
Mimi au alietoa uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unahitaji therapy....
Avatar tu? Haiwezekani.
Mimi au alietoa uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lazima atagiwe
Wewe
lazima atagiwe
Haya bana najua kofi la bae haliumi
Bae ndio nani Mr. Marangu?