Ni avatar ya member gani wa kike inakupagawisha sana humu mjengoni??

Ni avatar ya member gani wa kike inakupagawisha sana humu mjengoni??

aseeee!
pamoja wengi avatar sio zao, lakini mtu inakua ukiiona tuu unapagawa yani unaona kama labda anafanania vile, kumbe ukute ni furushi tuu halina mpango, ipi kwako inakuvutia na kukupa mtekenyo wa ndani na mshawasha zaidi??


mimi hii hapa

View attachment 1208916
Mahondraw sijui ndo inaandikwa hivo.
Ila hio avatar huwa inanipagawisha sana
 
Back
Top Bottom