Ni awamu hii tu ya uongozi ambapo hata Diamond anazindua miradi

Kapicha kidogo kukazia uthibitisho wa kauli hiyo.[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Chuki tu wewe huna lolote la maana. Yaani Diamond unamuna kama sijui kitu gani cha ajabu. Eti hata Diamond' ulitaka awe nani labda?
 
Bora awamu hii, angeshinda yule mwingne hiyo miradi ingekuja zinduliwa na wauza unga, wazinzi, majambazi na washenzi wote unaowajua wewe!
Watu mnajua kujisahaulisha wauza ngada wote walio tajwa ni wafuasi wazuri sana wa chama ila mnajifanya wwehu mnahamisha tuhuma kwa wasio na tuhuma aisee vijana wenzangu UVCCM kweli mlinyimwa akili na maarifa ndio maana mazao yenu yana score zero kwa kila jambo.
 
Chuki tu wewe huna lolote la maana. Yaani Diamond unamuna kama sijui kitu gani cha ajabu. Eti hata Diamond' ulitaka awe nani labda?
Jamani mbona mnahamaki hamjui leo ni fools day. Kama umenaswa pole
 
Diamond kwani si binadam? Wewe huwezi kuzindua mradi? Wewe huwezi kuwa mgeni rasimi?
 
Bora awamu hii, angeshinda yule mwingne hiyo miradi ingekuja zinduliwa na wauza unga, wazinzi, majambazi na washenzi wote unaowajua wewe!
Bwahaha mbavu zangu walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…