Ni awamu hii tu ya uongozi ambapo hata Diamond anazindua miradi

Ni awamu hii tu ya uongozi ambapo hata Diamond anazindua miradi

Neno mradi kwako lina maana gani? Kuzindua kitu chochote inaruhusiwa kuzindua nyumba, duka, ofisi n.k
 
HUU MJI MKUBWA BWANA UNA VITUKO WAKISHANGAA WAAMBIE WATALIWA M2NG0. [HASHTAG]#MJIWAVIWONDER[/HASHTAG].
 
Diamond nae mtu na ni almaarufu tosha. Wengi watamiminika hapo kwasababu hiyo.Sasa angeenda nani???
 
Back
Top Bottom