Ni awamu hii tu ya uongozi ambapo hata Diamond anazindua miradi

Labda ungesema ni awamu hii tu ya serikali inayojishughulisha na Instagram kuliko maisha halisi.
 
Acha mawazo mgando huo mradi sio wa serikali ni Duka jipya la nguo la GSM.
 
kazi ya makamu wa rais anafanya mkata viuno
 
Ulitaka ukazindue wewe nn mtaan kwenu tu zenyewe haujulikani anadeserve wacha kimbelembele fanya kaz usimuone tu hapo mwenzako halali na ana biddii mpaka kufikia hhapo alipo be positive.
 
Ulitaka aje Raisi na Msafara wake et ivi unajua msafara wa Raisi unagarama kiasi gani?
Hazi chuki hakiamungu mtakufa mwaka huu na next Mall anafungua Tiffa ndio Utazikwa
 
Kiba mwache azinduage. Majungu wenzake wanapiga kazi
 
Bora awamu hii, angeshinda yule mwingne hiyo miradi ingekuja zinduliwa na wauza unga, wazinzi, majambazi na washenzi wote unaowajua wewe!
As your name indicates goodluck!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…