WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,017
Apo sasaYaani wewe bwana! Ulitaka waziri mkuu akazindue duka la nguo???
Au ni mradi gani diamond amezindua?
Kwani ni mradi gani huoBora awamu hii, angeshinda yule mwingne hiyo miradi ingekuja zinduliwa na wauza unga, wazinzi, majambazi na washenzi wote unaowajua wewe!
Heshima Mkuu!NIKAJUA KIWANDA
TEH TEH TEHHeshima Mkuu!
Signature yako imeniacha hoi.Bado nazidi kuitafakari ila sipati majibu sahihi.