Savior ruther
Member
- Oct 15, 2017
- 14
- 12
Nafas ya mtuJoseevr
Wanasemaga kuanzia wiki3, hadi siku 90,Naomba kuuliza virus vya UKIMWI huoneka baada ya mda gani kwenye vipimo vya hospital baada ya mtu kuambukizwa.??
Au ni mda wowote hata baada ya sex na mwenye + kama umekupata unaweza kupima na ikaonekana umeshakuwa muathirika.?
Kwa hiyo inaoekana mda wowote..?. Hata mda huohuoNafas ya mtu