Ni baada ya mda gani..??

Ni baada ya mda gani..??

Savior ruther

Member
Joined
Oct 15, 2017
Posts
14
Reaction score
12
Naomba kuuliza virus vya UKIMWI huoneka baada ya mda gani kwenye vipimo vya hospital baada ya mtu kuambukizwa.??

Au ni mda wowote hata baada ya sex na mwenye + kama umekupata unaweza kupima na ikaonekana umeshakuwa muathirika.?
 
Wanasemaga kuanzia wiki3, hadi siku 90,

Najua umepita mahal[emoji23]

Au ni assignment ya prof [emoji310]
 
Kuna kipimo kinaonyesha afta 2 weeks, nmekisahau jina

Ila kwa vipimo vingi vilivyozagaa mahospitalini ni after 3 months!
 
Back
Top Bottom