Ni baada ya muda gani Mwanaume akifika jijini anaanza kuitwa Mwanaume wa Dar?

Ni baada ya muda gani Mwanaume akifika jijini anaanza kuitwa Mwanaume wa Dar?

BAADA YA:

Kupiga magoti unapomvalisha binti pete ya uchumba au ndoa.

Kuongea sauti ya 3 badala ya 4 ukiwa na Mama Kiduku.

Kurembua macho ukiongea na Ke kuliko Ke yenyewe ukimwonea aibu usoni.

Kushinda kutwa nzima kwenye Facebook, Instagram, Badoo, Imo, Tango, Porn apps ukiangalia picha za uchi na vedeo na kufatilia maisha ya wengine(umbeya).

Kuvaa milegezo, heleni, kusuka nywele na kuchora tatuu mwilini.

Kujipodoa, kuvaa vinguo vinavyokubana kama vya mdogo wako.

Kula chipsi kuku mataira/wa kizungu na mayai, urojo km tambi na robo saani ujazo.

Kutojishughulisha kwa mazoezi kiafya.

Kukaa vijiweni kutwa nzima kupiga piga majungu yasiyo na tija yoyote kimaendeleo

Kuwa dhaifu kwa Ke ukihonga sana pesa hadi kukosa nauli na kushindia mikate na maji siku nzima huku Ke ikikung'ong'a kwa kuigiza life style ya kidosi.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za shule, mikoani huku nilikua naona watu wanaenda likizo dar wakirudi mikoani kwetu, lafudhi zimebadilika kabisa. Kwa lugha yetu tulikuwa tunaita wanachonga. Naomba kujuzwa, je kuna sayansi yoyote iliyosababisha hilo au ni ulimbukeni tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani akitoka huko anakuwa mwananke ama!!!!

mpuuzi mpuuzi tu
 
hahahahah, Mzee Stefano Wasira ndie alimpiga Mwandishi wa habari, alipomuhoji "eti wanasema wewe ni swahiba wa Agustino Lyatonga Mrema..."
Mzee Wasira akajitetea kuwa alidhani neno swahiba, kuwa Mrema ana...... (tigo yake)
Mkuu hiyo clip unayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mpuuzi mpuuzi tu
 
Akianza kukojoa amechuchumaa tu,ana qualify kua mwanaume wa dar.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Akianza tu kuulizia wapi atapata vumbi la Congo!
 
Back
Top Bottom