BAADA YA:
Kupiga magoti unapomvalisha binti pete ya uchumba au ndoa.
Kuongea sauti ya 3 badala ya 4 ukiwa na Mama Kiduku.
Kurembua macho ukiongea na Ke kuliko Ke yenyewe ukimwonea aibu usoni.
Kushinda kutwa nzima kwenye Facebook, Instagram, Badoo, Imo, Tango, Porn apps ukiangalia picha za uchi na vedeo na kufatilia maisha ya wengine(umbeya).
Kuvaa milegezo, heleni, kusuka nywele na kuchora tatuu mwilini.
Kujipodoa, kuvaa vinguo vinavyokubana kama vya mdogo wako.
Kula chipsi kuku mataira/wa kizungu na mayai, urojo km tambi na robo saani ujazo.
Kutojishughulisha kwa mazoezi kiafya.
Kukaa vijiweni kutwa nzima kupiga piga majungu yasiyo na tija yoyote kimaendeleo
Kuwa dhaifu kwa Ke ukihonga sana pesa hadi kukosa nauli na kushindia mikate na maji siku nzima huku Ke ikikung'ong'a kwa kuigiza life style ya kidosi.
Sent using
Jamii Forums mobile app