inasikitisha sana!<br /><br />
<br /><br />
Na hapo ndio wanaona mtaji wao ulipo wakiamini ni salama
Niongeze sababu nyingine chache:
1. Mijitu mingine inajua kabisa imeukwaa halafu ndo kwaaanza linaingia peku peku kisa eti 'tufe wote' ,hovyo kabisa hawana tofauti na nduli.
2.Kuna watu wana allergy na rubber,Ulaya nasikia kwa watu kama hawa zipo condom zao special lakini aghali sana (dola ishirini kipande,Bongo tutaweza?)
3.Ujinga. Mtu anajisemea 'jamani mwanamke mzuri hivi asisikie joto la shahaw yangu?
4.Uume mkubwa saaaana au mdogo sana. Hizi condom zetu standard size kuna watu zinawabana kweli kweli maana hata kuivaa tabu,mwingine kibamia ndo hivo haikai
........itaendelea ngoja nikapate moja baridi kwanza Rose Garden......karibu First born!
unakuta mtu imewahi kutokea condom ikapasuka, eitha akajua na kubadili, au akajua na akaamua kujilipua kwa kumalizia.Hio dhana hapo juu huwaponza watu wengi... Mwingine anahisi tu kaukwaa (pengine waweza kuta bado) anatembea peku peku kuambukiza kumbe ndo anajimaliza... na mwingine kweli kaukwa... but ufinyu wa mawazo au lack of knowledge inamfanya aende kuongeza kasi ya vidudu kukutanisha na vingine....
hapo kwenye red mkuu napata shida kidogo kuamini, mie nimewahi kuijaza maji ile inaingia karibuni lita 10!!!??? hapo ni hisia tuu, ukishahisi unabanwa kweli utabamwa.Niongeze sababu nyingine chache:
1. Mijitu mingine inajua kabisa imeukwaa halafu ndo kwaaanza linaingia peku peku kisa eti 'tufe wote' ,hovyo kabisa hawana tofauti na nduli.
2.Kuna watu wana allergy na rubber,Ulaya nasikia kwa watu kama hawa zipo condom zao special lakini aghali sana (dola ishirini kipande,Bongo tutaweza?)
3.Ujinga. Mtu anajisemea 'jamani mwanamke mzuri hivi asisikie joto la shahaw yangu?
4.Uume mkubwa saaaana au mdogo sana. Hizi condom zetu standard size kuna watu zinawabana kweli kweli maana hata kuivaa tabu,mwingine kibamia ndo hivo haikai
........itaendelea ngoja nikapate moja baridi kwanza Rose Garden......karibu First born!
yaani kwa hilo tu ungekuwa karibu ningesha kupa kale ka kitu kanachitwaga busuHio dhana hapo juu huwaponza watu wengi... Mwingine anahisi tu kaukwaa (pengine waweza kuta bado) anatembea peku peku kuambukiza kumbe ndo anajimaliza... na mwingine kweli kaukwa... but ufinyu wa mawazo au lack of knowledge inamfanya aende kuongeza kasi ya vidudu kukutanisha na vingine....
unakuta mtu imewahi kutokea condom ikapasuka, eitha akajua na kubadili, au akajua na akaamua kujilipua kwa kumalizia.
Sasa issue ni kwamba, anaanza kujihisi labda atakuwa amepata ngoma, hapimi, akikutana na mwanamke mwingine, anaanza kufikiri aaaahhh! Kwanza naweza nikawa nao, anakwenda mtelezo....damn! Kumbe ndo anaupata sasa.
yaani kwa hilo tu ungekuwa karibu ningesha kupa kale ka kitu kanachitwaga busu
asnte sana, na kiukweli kwa style hii tutakwisha
sasa issue ni hivi, lazima at least mmoja awe ngangari kuhakikisha tahadhari inachukuliwa.Exactly.... alafu hapo in red... naamini kwa yeyote yule ikipasuka... woote watachukua uamuzi mmoja... kwamba ataairisha?? mmmh!
11. Kutojiamini na kufanya maamuzi, haswa wanawakke, kwa nn usimwambie huyo mwanaume avae
12. Kumwamini patner kupita kiasi hata kama ndo mnakutana mara ya 1,unajirizisha kwa macho unagonga kavu
yaani kitu kikaribie climax hafu muanze tena mwanzo? wachache mno wanaoweza kuhimili huo mkasa!sasa issue ni hivi, lazima at least mmoja awe ngangari kuhakikisha tahadhari inachukuliwa.
Kimbembe ni pale kdume kinapojifanya ndo kiachochea kwa bidii wakati huo huo, binti naye ndo anakata huku akibana na kuachia kama stop engine ya fusso huku akijua sleeve ya clutch ishatema.
wote wanajua, na hakuna anaye-take action ya kustop, ndo wanachocheana kama engine ya locomotive ya jicho moja.
sasa issue ni hivi, lazima at least mmoja awe ngangari kuhakikisha tahadhari inachukuliwa.
Kimbembe ni pale kdume kinapojifanya ndo kiachochea kwa bidii wakati huo huo, binti naye ndo anakata huku akibana na kuachia kama stop engine ya fusso huku akijua sleeve ya clutch ishatema.
wote wanajua, na hakuna anaye-take action ya kustop, ndo wanachocheana kama engine ya locomotive ya jicho moja.
Abstainance is the only solution for unmarried folks.
For the those in marriages, just stick to your one and only one partner.
Mengine hayo ni mizaha tu
Sherrif do you believe in this or just because it sounds good...
AshaDii. Yes, I do!!Sherrif do you believe in this or just because it sounds good...
Usipojiendekeza yanatekelezeka na kuwezekana bila mgogorohapo sasa, haya mambo si marahisi marahisi kwa kutimizwa kupitia matendo kama kuyatamka kinywani
hapo sasa, haya mambo si marahisi marahisi kwa kutimizwa kupitia matendo kama kuyatamka kinywani
AshaDii. Yes, I do!!
Mkuu ngoja nitafakari halafu nitarudi kuchangia