Ni baadhi tu ya tafiti za kimawazo!

Ni baadhi tu ya tafiti za kimawazo!

12. Hawataki kukitajirisha kiwanda cha condom.mia
 
Honestly, kijijini kwa mzee wangu, hakuna duka linalouza condom, not one i know of, including duka la ndugu yangu.
Reason ni imani ya dini, lakini deep down unaona kuwa ni unafiki coz watu wanatumbuana vibaya vibaya! Na ukifikiri wanatumia condoms jibu ni hapana, watazitoa wapi?
Kiashiria cha wazi ni mimba zisizotarajiwa mitaani!
Mimba inaonekana, ngoma je? Mimi ninahesabu tu miaka, najua kikiffumuka siku, kijiji kitakatika zaidi ya nusu.

umeona ee? Wanajifanya kuuza kondom ni kiashirio cha ngono hasa kwa madai kwamba utakapovaa mwenzako atakuona kama we ni mwathirika.
Sasa basi, nahisi kutumbuana tumbuana hivi hivi kutatupeleka pabaya.
 
<br />
<br />
14. Eti hawaogopi ukimwi. Kwao ni kama mafua.

15. Mwanaume rijali lazima ufe kwa ukimwi ili ujulikane kuwa ulitembeza rungu haswa, kufa kwa malaria ni aibu.
 
wengine tuna aleji na hii mipira ya kiume, labda watutengenezee mipira ya wavu.

hey!! nani kaandika hii, kweli sio mimi, kuna mtu hapa anachezea comp yangu
 
wengine tuna aleji na hii mipira ya kiume, labda watutengenezee mipira ya wavu.

hey!! nani kaandika hii, kweli sio mimi, kuna mtu hapa anachezea comp yangu

mipira ya wavu bora uvae asante mteja.
 
hayo mamipira yenu bana yanatufanya tusienjoy ile action yaani unajikuta muda wote unawaza mpira usije pasuka au kuchomoka

ooooppssss sorry nimekosea
 
mei na hiyo mipira sina shughuri nayo naona inaniyayusha na naweza nikamuhemea demu hata lisaa lizima bila ku shot yaani inakata utamu wote,na demu akigoma ngozi kwa ngozi nakubali kughairisha match,kitu nyama kwa nyama raha iliyoje
 
Ni mawazo yako au kuna mtu kakuibia paswedi yako
 
Back
Top Bottom