Ni baadhi tu ya tafiti za kimawazo!

12. Hawataki kukitajirisha kiwanda cha condom.mia
 
umeona ee? Wanajifanya kuuza kondom ni kiashirio cha ngono hasa kwa madai kwamba utakapovaa mwenzako atakuona kama we ni mwathirika.
Sasa basi, nahisi kutumbuana tumbuana hivi hivi kutatupeleka pabaya.
 
<br />
<br />
14. Eti hawaogopi ukimwi. Kwao ni kama mafua.

15. Mwanaume rijali lazima ufe kwa ukimwi ili ujulikane kuwa ulitembeza rungu haswa, kufa kwa malaria ni aibu.
 
wengine tuna aleji na hii mipira ya kiume, labda watutengenezee mipira ya wavu.

hey!! nani kaandika hii, kweli sio mimi, kuna mtu hapa anachezea comp yangu
 
wengine tuna aleji na hii mipira ya kiume, labda watutengenezee mipira ya wavu.

hey!! nani kaandika hii, kweli sio mimi, kuna mtu hapa anachezea comp yangu

mipira ya wavu bora uvae asante mteja.
 
hayo mamipira yenu bana yanatufanya tusienjoy ile action yaani unajikuta muda wote unawaza mpira usije pasuka au kuchomoka

ooooppssss sorry nimekosea
 
mei na hiyo mipira sina shughuri nayo naona inaniyayusha na naweza nikamuhemea demu hata lisaa lizima bila ku shot yaani inakata utamu wote,na demu akigoma ngozi kwa ngozi nakubali kughairisha match,kitu nyama kwa nyama raha iliyoje
 
Ni mawazo yako au kuna mtu kakuibia paswedi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…