Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kimsingi anatembelea ndani ya footprint za Tenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hana lolote faida iliyopo sasa hivi kwa stars ni kwamba CAF inapanga mashindano kwa kanda ndiyo maana tunafanikiwa kwa kukutana na timu mbovu za ukanda wetuTangu uongozi wa TFF chini ya Karia uingie madarakani Agosti 2017, kumekuwa na kawimbi ka mafanikio kiasi katika soka la Tanzania angalau kwa kiwango fulani kulinganisha na TFF za Malinzi na Tenga au hata FAT huko nyuma.
Mafanikio
1. Kuimarika kwa team ya under 17 ya akina Kelvin ambapo iliweza ku qualify kushiriki fainali ya mwaka 2019
2. Tanzania kwa mara ya kwanza iliweza kundaa fainali michezo Africa under 17 mwaka 2019.
3. Baada ya miaka 37 Tanzania iliweza ku qualify fainali ya Afcon mwaka 2019 iliyofanyika Misri
4, Kwa mara ya kwanza Tanzania katika ngazi ya klabu iliweza kuvuka hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa na kuingia robo fainali 2019 (Wengi watasema hayo ni mafanikio ya juhudi binafsi za klabu ya Simba, lakini huko nje wanajua ni mafanikio ya Tanzania)
5. Tumeweza kuunda timu ya under 20 imara Ngorongoro heroes na kufanikiwa kuchukua kombe la Afrika Mashariki na ya kati ugenini 2019
6. Baada ya miaka 10 Tanzania imefanikiwa tena ku qualify kwa mashindano ya CHAN itakayofanyika Cameroun 2020
Je hayo ni mafanikio ya TFF ya Karia au ni upepo tu wa bahati, na kama ni mafanikio je kuna dalili yatakuwa endelevu? naomba maoni yenu
Karia ni kiongozi mzuri anayejua anachokifanya .Kumbuka alianza kuchomoza kipindi Cha Tenga akiwa mwenyekiti bodi ya ligi pia ni mtumishi wa umma. Pia alifanya kazini na Malinzi Kama makamu wa Rais. Makamu wake Athumani Nyamlani pia alifanya kazi na Tenga Kama makamu wa Rais,ni mzoefu katika uongozi wa mpira lakini pia anajua fitina za mpira( Master mind mzuri tu).Pia viongozi wengine amewachagua kwa usahihi. Kwa hiyo alama/mfumo wa style za uongozi wa Tenga bado unaishi.Ni uongozi wa sasa TFF chini ya Mwenyekiti Karia,Mwenyekiti si mtendaji sana lazima pale TFF kuna masterminds pembeni.Nchi kuonekana kwenye mashindano ya Kimataifa mara kwa mara ni mafanikio.CHAN si michuano midogo pia
Anakula matunda ya watangulizi wake.Tangu uongozi wa TFF chini ya Karia uingie madarakani Agosti 2017, kumekuwa na kawimbi ka mafanikio kiasi katika soka la Tanzania angalau kwa kiwango fulani kulinganisha na TFF za Malinzi na Tenga au hata FAT huko nyuma.
Mafanikio
1. Kuimarika kwa team ya under 17 ya akina Kelvin ambapo iliweza ku qualify kushiriki fainali ya mwaka 2019
2. Tanzania kwa mara ya kwanza iliweza kundaa fainali michezo Africa under 17 mwaka 2019.
3. Baada ya miaka 37 Tanzania iliweza ku qualify fainali ya Afcon mwaka 2019 iliyofanyika Misri
4, Kwa mara ya kwanza Tanzania katika ngazi ya klabu iliweza kuvuka hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa na kuingia robo fainali 2019 (Wengi watasema hayo ni mafanikio ya juhudi binafsi za klabu ya Simba, lakini huko nje wanajua ni mafanikio ya Tanzania)
5. Tumeweza kuunda timu ya under 20 imara Ngorongoro heroes na kufanikiwa kuchukua kombe la Afrika Mashariki na ya kati ugenini 2019
6. Baada ya miaka 10 Tanzania imefanikiwa tena ku qualify kwa mashindano ya CHAN itakayofanyika Cameroun 2020
Je hayo ni mafanikio ya TFF ya Karia au ni upepo tu wa bahati, na kama ni mafanikio je kuna dalili yatakuwa endelevu? naomba maoni yenu
Watu sijui hamjui au mnajitoa ufahamu, Tz ku-host mashindano ya under 17 ilifanikishwa chini ya ya Malinzi, hii timu ya under 17 ni mkakati uliojengwa toka malinzi, ushirika wa AFCON was purely political, siyo kitu ya kusifia. Suala la kuruhusu uwekezaji na hatimaye MO kuwa Simba ndiyo kilichoifanya Simba iimarike na nibmazingira yaliyowekwa toka enzi za Malinzi.
Tukisema ni jitihada za karia na genge lake itakuwa ni vichekesho kama vile walikuwa wanatutumia tigo/voda zamani
ni upepo tu wala hakuna mikakati ya kufaulu yote hayo,mataifa africa tumepita kwa kubebwa na ug. hii ya cameroon pia bahati
kuhusu hao madogo, kitambo tu walisha anza kufanya poa sema kdg bashite kahamasisha kiasi ila karia bwege tu hana mkakati wala mchango kwenye hayo mafanikio
Tunaomba utuanishie hizo jitihada ni zipi zilizofanywa na TFF ya Karia, ukiachana na swala la uteuzi wa makocha?Tatizo la Wa-TZ wengi ni kutotaka kuona na kutambua mafanikio ya wengine,hata inapotokeo kuna matokeo chanya,hutafuta njia kukwepesha uhalisia. Ndolanga,Tenga,Malinzi na wengine walikuwepo. Jitihada zao zilionekana kwa kadri ya uwezo wao.
Na Sasa ni Karia na wenzake wapi nao jitihada zao zinaonekana.Tunapaswa kutambua jitihada zao
Mkuu, sie mashabiki wa soka tunachojali ni ushindi, hiyo ndio furaha yetu.Siwezi kuainisha jitihada za TFF kwa kuwa sipo kwenye taasisi hiyo.Tunaomba utuanishie hizo jitihada ni zipi zilizofanywa na TFF ya Karia, ukiachana na swala la uteuzi wa makocha?
Anasimamia kwa weledi pesa za fifa kiasi ataanza kujenga kituo cha michezo mnyanjan TangaTunaomba utuanishie hizo jitihada ni zipi zilizofanywa na TFF ya Karia, ukiachana na swala la uteuzi wa makocha?
karia hana lolote zaidi ya kulundika wanaSimba TFF!!Tatizo la Wa-TZ wengi ni kutotaka kuona na kutambua mafanikio ya wengine,hata inapotokeo kuna matokeo chanya,hutafuta njia kukwepesha uhalisia. Ndolanga,Tenga,Malinzi na wengine walikuwepo. Jitihada zao zilionekana kwa kadri ya uwezo wao.
Na Sasa ni Karia na wenzake wapi nao jitihada zao zinaonekana.Tunapaswa kutambua jitihada zao
Sasa utasemaje kuwa kuna jitihada za TFF ya Karia zilizopelekea kupatikana kwa matokeo chanya wakati haujui hizo jitahada ni zipi walizozifanya?Mkuu, sie mashabiki wa soka tunachojali ni ushindi, hiyo ndio furaha yetu.Siwezi kuainisha jitihada za TFF kwa kuwa sipo kwenye taasisi hiyo.
Kwahiyo mafanikio ya timu ya Taifa na timu ya Simba tunayojadili hapa yametokana na hii jitihada ya TFF kutaka kujenga kituo cha michezo Tanga?Anasimamia kwa weledi pesa za fifa kiasi ataanza kujenga kituo cha michezo mnyanjan Tanga
Wabongo tunafeli hapa tu, kimeulizwa kitu kingine kabisa majibu yametoka ya kukurupukaSubiri watu wa Yanga waje kuponda, sijui kwanini watu wa Yanga wanamtazama Karia kisimbasimba, basi wanaponda kila kitu cha uongozi wa Karia.