Ni Bank gani yenye sofa hizi?

Ni Bank gani yenye sofa hizi?

Classic 1

Senior Member
Joined
Sep 11, 2021
Posts
117
Reaction score
113
Ni bank gani hapa Tz
  • Inakuwezesha kufungua USD Account isiyo na makato ya kila mwezi ( without monthly maintenance fees).

  • Inatoa internet banking services kwa haraka bila kuwafuatafuata tawini.

Recommendations pls!
 
    [*]Inatoa internet banking services kwa haraka bila kuwafuatafuata tawini.

Recommendations pls!
CRDB
 
Sofa ndio nini sasa mbona heading haiendani na content.
Jifunze somo ya muandiko kwanza kabla ya kuanzisha thread
 
Just a typo and you know that. Na JF hawana option ya kuedit title. If you don't have anything valuable to add in this thread, just ignore & go where you belong. Jifunze adabu! Halafu sio somo ya ...., sahihi ni somo la ....
 
Kafungue Absa Ila wanakata dola tano kila mwezi na unafanya transactions zako zozote Hawa jamaa wako konki kwa banks zote Tanzania.
Yaani online transaction ni fasta na hela ukilipwa kwa kadi inaingia Kama dola zako zilivyo hakuna exchange rate difference cost.
Unaweza unapokea various currencies within one bank account.
Yaani Tena unatumiwa bure mkuu wao hawakati labda huko walikotuma
 
Thanks ndugu✍️
 
mtanzania huongea kiingereza akiwa amelewa au ana hasira🤣
ila msaada umeshapewa hapo juu Boss
 
Ni bank gani hapa Tz
  • Inakuwezesha kufungua USD Account isiyo na makato ya kila mwezi ( without monthly maintenance fees).

  • Inatoa internet banking services kwa haraka bila kuwafuatafuata tawini.

Recommendations pls!
Kama kuna bank ya hivi basi haifai kwa internet banking maana kutakuwa tu na hidden fees na makato hadi kuangalia salio na statement.
 
Ni bank gani hapa Tz
  • Inakuwezesha kufungua USD Account isiyo na makato ya kila mwezi ( without monthly maintenance fees).

  • Inatoa internet banking services kwa haraka bila kuwafuatafuata tawini.

Recommendations pls!
Go with stanbic bank
 
Kafungue Absa Ila wanakata dola tano kila mwezi na unafanya transactions zako zozote Hawa jamaa wako konki kwa banks zote Tanzania.
Yaani online transaction ni fasta na hela ukilipwa kwa kadi inaingia Kama dola zako zilivyo hakuna exchange rate difference cost.
Unaweza unapokea various currencies within one bank account.
Yaani Tena unatumiwa bure mkuu wao hawakati labda huko walikotuma
Absa huwezi ukailinganisha na haya mapuuzi yetu hapa tanzania inabidi ieleweke Absa ni barclays iliyoamua kujirebrand kwa africa kutokana wale holders waliopo africa
 
Ni bank gani hapa Tz
  • Inakuwezesha kufungua USD Account isiyo na makato ya kila mwezi ( without monthly maintenance fees).

  • Inatoa internet banking services kwa haraka bila kuwafuatafuata tawini.

Recommendations pls!
Ni ABSA mkuu
 
Back
Top Bottom