hapana sio mfanyakaz ni mteja wa nmb wa muda mrefu san tangu 2000.naijua bank hii sana kwan ndio primary banker wangu
naomba niende general kwa ajili ya kuprotect bank tajwa zingine ikiwa nimesha declare mie ni mteja wa nmb,tofaut kubwa ni katika huduma kwa mteja,upatikanaji wa huduma kwa mteja,mtandao wa bank husika,huduma za ziada yaan value added service kama mobile application,sms alert,huduma ya malipo n.k,riba wanazotoa kwa mteja,gharama za kibenk na usalama wa fedha za mteja
ukitumia vtu hvyo hapo juu ambavyo ni baadhi tu utakuja na jibu bank gan ni sahihi kwa huyo mtu,ila narudia tena bank kwa wote ni Nmb,
nisihukumiwe kwan waliosema crdb wao ni wafanyakaz,if ur interested with anything u will know it