Ni baraka kubwa Rais wetu kualikwa G 20, wenzetu Nchi Jirani wanakimbizana na Maaskofu tu wako taabani Kiuchumi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu

Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki

Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini tusimshukuru Mungu kwa baraka hizi kubwa!

Soma Pia: Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

Watanzania tuachage unyonge wa kijamaa tulioachiwa na akina Kingunge, Sisi ni Taifa kubwa

Mungu wa mbinguni mbariki Mpendwa Wetu Mh Rais Samia

Mlale Unono 🌹
 
Kutwa,kucha unatafutiza vihabari vya kipropaganda; lakini huna hata kumbukumbu kukuonyesha Ruto huyo huyo alikuwa kwenye G7?
Hivi visafari mjinga, huku nyumbani unaacha msiba vinatuongezea kipi cha maana!
Kama ume ajiriwa kwa kufanya hizi propaganda, huyo aliye kuajiri ataanza kuona jinsi thamani yako inavyo poromoka kwa kasi kubwa.

Huyo dikteta mwingine hap M7 umeona akipapatika na upuuzii kama huu wa kwenu; lakini uchumi wake unapaa!
 
Naona unafuata nyayo za chawa mwandamizi Lucas Mwashambwa
 
Hiyo ndiyo fruits ya kubalisha vyama kama Madera, wanavuna walichopanda, twendeni na CCM yetu, twende kwa mfano wa China, si kila kitu kuiga western country!..
 
Kutwa,kucha unatafutiza vihabari vya kipropaganda; lakini huna hata kumbukumbu kukuonyesha Ruto huyo huyo alikuwa kwenye G7?
Hivi visafari mjinga, huku nyumbani unaacha msiba vinatuongezea kipi cha maana!
Kama ume ajiriwa kwa kufanya hizi propaganda, huyo aliye kuajiri ataanza kuona jinsi thamani yako inavyo poromoka kwa kasi kubwa.

Huyo dikteta mwingine hap M7 umeona akipapatika na upuuzii kama huu wa kwenu; lakini uchumi wake unapaa!
Nchi Jirani mshahara ni issue lakini wewe hapo Manispaa tarehe 24 account inasoma 😂

Mfano mwepesi kabisa 😂😄
 
Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu

Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki

Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini tusimshukuru Mungu kwa baraka hizi kubwa!

Soma Pia: Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

Watanzania tuachage unyonge wa kijamaa tulioachiwa na akina Kingunge, Sisi ni Taifa kubwa

Mungu wa mbinguni mbariki Mpendwa Wetu Mh Rais Samia

Mlale Unono 🌹
Thread nyingine Bwana ukizisoma kidogo tu unajua zimetoka kwa mtu mjinga.
 
Naona unafuata nyayo za chawa mwandamizi Lucas Mwashambwa
Nilikuwa nafuatilia mambo ya Kanisa Moja Takatifu la Mitume hapo Kenya kurudisha mpunga kwa Ruto

Nikakumbuka Madai ya Makonda kwamba ana wasiwasi kama Mbowe alikabidhi Kanisani ile m150 aliyotumwa na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia

😂😂😂 Ulale Unono
 
Wewe kweli ni mwehu,umezidiwa na nchi ya Kenya,Uganda kwa Budget,unazungumzia uchumi upi.
 
Hata majumbani mwetu toto jinga huwa linabembelezwa kwa kuitwa mara kwa mara jikoni ili likapewe ukoko.
 
Kaenda kuboost biashara ya hewa ukaa, tuko vizuri kwenye misitu na utunzaji wa mazingira payback period imetufikia walipaji wenyewe ndo hawa ambao ndio wachafuzi wa mazingira duniani
 
Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu

Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki

Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini tusimshukuru Mungu kwa baraka hizi kubwa!

Soma Pia: Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

Watanzania tuachage unyonge wa kijamaa tulioachiwa na akina Kingunge, Sisi ni Taifa kubwa

Mungu wa mbinguni mbariki Mpendwa Wetu Mh Rais Samia

Mlale Unono 🌹
Uwe unahangaika pia kutafuta na kufuatilia taarifa kuliko kujifungua tu kwenye kiza nene ukisubiri directives za lumumba
 
Back
Top Bottom