johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kutwa,kucha unatafutiza vihabari vya kipropaganda; lakini huna hata kumbukumbu kukuonyesha Ruto huyo huyo alikuwa kwenye G7?Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu
Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki
Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini tusimshukuru Mungu kwa baraka hizi kubwa!
Soma Pia: Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20
Watanzania tuachage unyonge wa kijamaa tulioachiwa na akina Kingunge, Sisi ni Taifa kubwa
Mungu wa mbinguni mbariki Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
Mlale Unono πΉ
Naona unafuata nyayo za chawa mwandamizi Lucas MwashambwaWatanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu
Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki
Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini tusimshukuru Mungu kwa baraka hizi kubwa!
Soma Pia: Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20
Watanzania tuachage unyonge wa kijamaa tulioachiwa na akina Kingunge, Sisi ni Taifa kubwa
Mungu wa mbinguni mbariki Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
Mlale Unono πΉ
Nchi Jirani mshahara ni issue lakini wewe hapo Manispaa tarehe 24 account inasoma πKutwa,kucha unatafutiza vihabari vya kipropaganda; lakini huna hata kumbukumbu kukuonyesha Ruto huyo huyo alikuwa kwenye G7?
Hivi visafari mjinga, huku nyumbani unaacha msiba vinatuongezea kipi cha maana!
Kama ume ajiriwa kwa kufanya hizi propaganda, huyo aliye kuajiri ataanza kuona jinsi thamani yako inavyo poromoka kwa kasi kubwa.
Huyo dikteta mwingine hap M7 umeona akipapatika na upuuzii kama huu wa kwenu; lakini uchumi wake unapaa!
Thread nyingine Bwana ukizisoma kidogo tu unajua zimetoka kwa mtu mjinga.Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu
Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki
Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini tusimshukuru Mungu kwa baraka hizi kubwa!
Soma Pia: Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20
Watanzania tuachage unyonge wa kijamaa tulioachiwa na akina Kingunge, Sisi ni Taifa kubwa
Mungu wa mbinguni mbariki Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
Mlale Unono πΉ
Nilikuwa nafuatilia mambo ya Kanisa Moja Takatifu la Mitume hapo Kenya kurudisha mpunga kwa RutoNaona unafuata nyayo za chawa mwandamizi Lucas Mwashambwa
Makasiriko π€£Thread nyingine Bwana ukizisoma kidogo tu unajua zimetoka kwa mtu mjinga.
Sawa mwanafunzi wa Lucas MwashambwaNilikuwa nafuatilia mambo ya Kanisa Moja Takatifu la Mitume hapo Kenya kurudisha mpunga kwa Ruto
Nikakumbuka Madai ya Makonda kwamba ana wasiwasi kama Mbowe alikabidhi Kanisani ile m150 aliyotumwa na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
πππ Ulale Unono
π€π€πHiyo ndiyo fruits ya kubalisha vyama kama Madera, wanavuna walichopanda, twendeni na CCM yetu, twende kwa mfano wa China, si kila kitu kuiga western country!..
Uwe unahangaika pia kutafuta na kufuatilia taarifa kuliko kujifungua tu kwenye kiza nene ukisubiri directives za lumumbaWatanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu