Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu watanzania,
Kwa hakika Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita , nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amekata kiu ya watanzania waliokuwa nayo katika vifua vyao.
Amewapa na kuwajaza Matumaini juu ya kule tuendako,ameonyesha nuru na Mwanga mpya ujao mbele yetu. Ameonyesha Dhamira yake njema ya kuwapatia wananchi viongozi wachapakazi, wanyenyekevu, waadilifu,wasikivu , hodari watakao kuwa watumishi wa Watu na kuwahudumia wananchi kwa weledi pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile.
Kwa hakika watanzania tutarajie makubwa na neema kitambo kidogo mbele yetu. Tutajarijie kupata maendeleo na uchumi wetu kukua kwa kasi kubwa sana. Tutegemee na kutarajia utekelezwaji wa miradi ya maendeleo kwa kasi kubwa na kwa ubora Mkubwa sana. Tutarajie ofisi za umma kuwa mahali na sehemu ya faraja na Tumaini la Watanzania.
Tutarajie watanzania hususan wagonjwa kupata huduma bora ,stahiki na kwa unyenyekevu mkubwa sana kutoka kwa watumishi wa umma. Tutarajie umma wa watanzania kunufaika na rasilimali za Taifa letu na kila mmoja kushiriki katika keki ya Taifa. Tutarajie Maisha bora kwa kila mtanzania na kuishi maisha yenye kesho yenye Matumaini kwa kila mmoja wetu.
Tutarajie kuona furaha ya watanzania ikiongezeka mioyoni mwa watanzania na kuwa Taifa lenye furaha zaidi Duniani. Tutarajie kuona kila mmoja wetu akitimiza malengo na ndoto zake. Kwa hakika Rais Samia ni kiongozi Madhubuti,hodari ,jasiri na mwenye uthubutu na ujasiri mkubwa sana katika kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati sahihi kabisa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.