Ndigwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 210
- 59
Nimekuwa nikipata taabu niwapo safarini, hasa nikiwa na familia pale unakuta njia nzima anawekwa Harmonize, Diamondi n.k., ni kama mumeingia mtandaoni mnaangalia picha za ngono.
Yakipatikana mabasi yanayojali maadili na kuweka picha za heshima kwenye video zao itapendeza zaidi.
Yakipatikana mabasi yanayojali maadili na kuweka picha za heshima kwenye video zao itapendeza zaidi.