Ni bendera zipi wanafunzi wanaosoma nje ya nchi, hutakiwa kuwa nazo?

Ni bendera zipi wanafunzi wanaosoma nje ya nchi, hutakiwa kuwa nazo?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Naomba kufahamishwa bendera wanazotakiwa kuwa nazo wanafunzi wanaosoma nje ya nchi? Je, ni zile kubwa za kuwekwa kwenye mlingoti au vile vidogo vya kushika mkononi?

Screenshot_20220306-100158_1646550196725.jpg
 
Putin lina hasira na bendera ya kenya kwasababu wamemuambia ukweli aache kuua waukraine
 
Naomba kufahamishwa bendera wanazotakiwa kuwa nazo wanafunzi wanaosoma nje ya nchi? Je, ni zile kubwa za kuwekwa kwenye mlingoti au vile vidogo vya kushika mkononi?

View attachment 2140685
Kuna ile kubwa kabisa, then inafata size ya kati (boat flag). Hizi zinapatikana ofisi ya manunuzi ya serikali...sijui kama nimepatia jina ila something like that. Haina longo longo nenda utapewa ushirikiano wa kutosha. Zinauzwa sio bure
 
Back
Top Bottom