Naomba kufahamishwa bendera wanazotakiwa kuwa nazo wanafunzi wanaosoma nje ya nchi? Je, ni zile kubwa za kuwekwa kwenye mlingoti au vile vidogo vya kushika mkononi?
Naomba kufahamishwa bendera wanazitakiwa kuwa nazi wanafunzi wanaosoma nje ya nchi? Je, ni zile kubwa za kuwekwa kwwnye mlingoti au vile vidogo vya kushika mkononi? View attachment 2140685
Naomba kufahamishwa bendera wanazotakiwa kuwa nazo wanafunzi wanaosoma nje ya nchi? Je, ni zile kubwa za kuwekwa kwenye mlingoti au vile vidogo vya kushika mkononi?
Kuna ile kubwa kabisa, then inafata size ya kati (boat flag). Hizi zinapatikana ofisi ya manunuzi ya serikali...sijui kama nimepatia jina ila something like that. Haina longo longo nenda utapewa ushirikiano wa kutosha. Zinauzwa sio bure