dominick chuwa
New Member
- May 12, 2015
- 1
- 0
Ni bank gani inayotoa mikopo kwa masharti nafuu? Na riba nafuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bank gani inayotoa mikopo kwa masharti nafuu? Na riba nafuu?
Riba yao ni kiasi gani kkMkuu kwasasa naiamini Equity kwa riba ndogo...pia kufungua account ni bure na inachukua muda mfupi sana.
Mkuu kwasasa naiamini Equity kwa riba ndogo...pia kufungua account ni bure na inachukua muda mfupi sana.
Mkuu hebu dadafua huduma zao zipoje?
Mkuu kwakweli sikumbuki exactly details zote kama riba n.k ila nilienda pale Arusha na walinifafanulia vizuri sana...jaribu kwenda ofisini kwao kwani ndio bank inayojiexpand sana TZ kwasasa so they are in need of many customers na riba yao ni ndogo kwakweli.
Hivi makato yao ya visa transaction yapoje?
Sikuchunguza hilo mkuu
usirogwe Bank abc ni wababaishaj