Wakuu nipo kwenye mchakato wa kuchukua mkopo toka Benki yeyote, mkopo ninaohitaji ni personal loan ambayo watakuwa wananikata kwenye mshahara wangu, nimejaribu kufuatilia mabenki kadhaa lakini riba zao zinaumiza sana kwa mfano Barclays Bank wao wanatoza riba ya 23% ambayo kwa maoni yangu ni kubwa sana. Kama kuna yeyote mwenye uzoefu na masuala haya ya mikopo na riba tafadhali anijulishe (pia ni kwa faida ya wengine) ni benki gani hapa nchini inayotoa riba nafuu kwa mikopo binafsi.
Nawasilisha.
Ni katika watu wachache walioulizia RIBA kabla ya kuchukua mkopo, achana na hiyo mikopo marejesho yatakukondesha
gonga hapa chini .... jf ina kila kitu
https://www.jamiiforums.com/ujasiri...idogo-midogo-ya-kibiashara-7.html#post4678200
mkuu sun wu, mkataba wangu umeandikwa hivi nanukuu
"The interest will be charged at the rate of 20% p.a calculated on monthly balances to be debited to the borrower's account".
Km huwezi niamini basi!!!