Ni benki gani inatoza riba nafuu kwenye mikopo?

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Wakuu nipo kwenye mchakato wa kuchukua mkopo toka Benki yeyote, mkopo ninaohitaji ni personal loan ambayo watakuwa wananikata kwenye mshahara wangu, nimejaribu kufuatilia mabenki kadhaa lakini riba zao zinaumiza sana kwa mfano Barclays Bank wao wanatoza riba ya 23% ambayo kwa maoni yangu ni kubwa sana. Kama kuna yeyote mwenye uzoefu na masuala haya ya mikopo na riba tafadhali anijulishe (pia ni kwa faida ya wengine) ni benki gani hapa nchini inayotoa riba nafuu kwa mikopo binafsi.
Nawasilisha.
 
Ngoja waje maana hata mimi ninahitaji sana hii elimu.
 
mkuu japan riba ni 0.5%,bongo ya chini ni 18%.Nyerere anasema lazima uwe muuza bangi ili uweze kulipa riba za bank
 
Wakuu nipo kwenye mchakato wa kuchukua mkopo toka Benki yeyote, mkopo ninaohitaji ni personal loan ambayo watakuwa wananikata kwenye mshahara wangu, nimejaribu kufuatilia mabenki kadhaa lakini riba zao zinaumiza sana kwa mfano Barclays Bank wao wanatoza riba ya 23% ambayo kwa maoni yangu ni kubwa sana. Kama kuna yeyote mwenye uzoefu na masuala haya ya mikopo na riba tafadhali anijulishe (pia ni kwa faida ya wengine) ni benki gani hapa nchini inayotoa riba nafuu kwa mikopo binafsi.
Nawasilisha.

Ni katika watu wachache walioulizia RIBA kabla ya kuchukua mkopo, achana na hiyo mikopo marejesho yatakukondesha
 
mkuu unaacha kutoa ushauri unasema tuahane na mikopo?
tupe mkuu usibane unalojua!
 
mkuu sun wu, mkataba wangu umeandikwa hivi nanukuu

"The interest will be charged at the rate of 20% p.a calculated on monthly balances to be debited to the borrower's account".

Km huwezi niamini basi!!!

Mkuu sorry nimechanganya post nilidhani hii ni ile post kuna mtu aliuliza ni benki gani zenye gharama ndogo kwenye savings account; kama ni issue ya loans nadhani Azania wapo vizuri
 
Back
Top Bottom