Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iyo benki ndio inaanza wala usipagawe na ofa zaoEquity wako poa una fungua acc na kadi una pewa siku iyo iyo co crdb una ambiwa kadi uifate baada ya 10 days
Makato yake yapoje?NMB ndio safi.kwanza ipo sehemu nyingi na makato yao ya uendeshaji n nafuu. Ila sijajua kwenye swala la mikopo maana wewe ni mfanyabiashara huenda ukawa na interest na mikopo
wewe ni wa wapi kusema equity ndio inaanza?iyo benki ndio inaanza wala usipagawe na ofa zao
Equity ni benki kubwa kuliko zote hapa tanzaniaiyo benki ndio inaanza wala usipagawe na ofa zao
Duuh!!mi zangu huwa nafukia
zote ziko poa ila crdb imesambaa nchi nzima, Equity wako mikoa mitano tu.Kati ya Equity na CRDB ipi iko poa zaidi
VISA card mkuuEquity wana mastercard au visa card?
Nilifungua NMB mwaka 2011 ila situmii tena hii benki. Walikua poa sanaKuna zaidi ya nmb kwan?