Ni benki gani nzuri kwa kufungulia Account?

Equity wako poa una fungua acc na kadi una pewa siku iyo iyo co crdb una ambiwa kadi uifate baada ya 10 days
iyo benki ndio inaanza wala usipagawe na ofa zao
 
iyo benki ndio inaanza wala usipagawe na ofa zao
Equity ni benki kubwa kuliko zote hapa tanzania
Ni benki iliyovuka mipaka ya nchi yake East Africa imeenea tofauti na hizi za kwetu!
 
ANGALIA ILIYO JIRAN OFC YENYE MATAWI MENGI NASHAURI CRDB MANA KUNA ILE FULAN MWISHO WA MWEZ FOLENI YAKE YAKE ATM SOO POA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…