Ni benki gani nzuri kwa kufungulia Account?

ANGALIA ILIYO JIRAN OFC YENYE MATAWI MENGI NASHAURI CRDB MANA KUNA ILE FULAN MWISHO WA MWEZ FOLENI YAKE YAKE ATM SOO POA
Mkuu ile ni hatari sana, ila siku hizi kuna mawakala kila kona kwa suala la kuweka nakutoa pesa sio changamoto sana labda hizo huduma zingine za kibenki
 
NMB wako vizuri pia. Wana matawi ya kutosha lakini pia mawakala wapo wa kutosha. Mtaji wao ni mkubwa (inasapotiwa na serikali pia) huna hofu ya benki kufilisika.
Niliwahi kuwa na akaunti ya mwanafunzi NMB 2011-2013 huduma zao zilikuwa vizuri. Pia walikua na NMB mobile (hadi sasa ipo) kwa hiyo hata kama uko mbali unafanya miamala au kama kuna foleni we Unamaliza shida zako fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…