Umuofia kwenu! Kwa hapa Tanzania ni benki gani ambayo ina huduma nzuri kwa wateja wake kuanzia kwenye branch zao mpaka online. Benki isiyosumbua wateja kwa huduma na makato ya hovyo hovyo mpaka mtu unajuta wakati pesa ni zako na umezitafuta kwa jasho.
Wandugu tupeane ushauri pesa zetu wenyewe zisije kutufanya kua watumwa kwa haya mabenki mchwara yanayoendeshwa kihisia na si kibiashara!
Wandugu tupeane ushauri pesa zetu wenyewe zisije kutufanya kua watumwa kwa haya mabenki mchwara yanayoendeshwa kihisia na si kibiashara!