AMANA BANKNi benki gani yenye riba nafuu kwa mikopo ya watumishi?
Nawasilisha.
Equity
UsisubutuCRDB ndio wanajinadi hivyo kwenye site yao... Uhalisia wake sijui
Riba zao ni shida, unachukua mkopo wa milioni 20 kwa miaka 9, unalipa riba milioni 21! Biashara kichaaCRDB ndio wanajinadi hivyo kwenye site yao... Uhalisia wake sijui