Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

I doubt kwamba bank inakupa 9%kila mwezi. Yaani maana yake baada ya mwaka nilisha double capital yangu. Hii sii balaaa
Hupati hiyo 90,000 kila mwezi. Hiyo 90,000 % ya mwaka mzima. Tena hapo bado hawajakata kodi/tozo ya serikali. Inayobaki sasa ndio pesa yako ya mwaka mzima. Sasa hapo gawanya kwa miezi 12.

Hiyo hesabu ni kwa aliyeweka 1,000,000/=
 
Fungua account ya CRDB ya mzigo flexa ambayo inakupa asilimia 9 kila mweziii ya ela ulioweka na kiwango Cha chni Cha kusave ni million 1 unaeza ukaongeza pia na unawezaa kutoa faida yako kila mweziii piaa
Ni bora kuliko kusave ela invest ela.
Sio kila mwezi ni 9%kwa mwaka
 
Equity Bank japo changamoto ni kuwa wapo tawi moja kila mkoa isipokuwa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…