I doubt kwamba bank inakupa 9%kila mwezi. Yaani maana yake baada ya mwaka nilisha double capital yangu. Hii sii balaaaMkuu mbona hivyo? 1,000,000×0.09=90,000.
Hii ndio aslimia 9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I doubt kwamba bank inakupa 9%kila mwezi. Yaani maana yake baada ya mwaka nilisha double capital yangu. Hii sii balaaaMkuu mbona hivyo? 1,000,000×0.09=90,000.
Hii ndio aslimia 9
Hesabu ni mgogoro kwa watu wengi.Kila mwisho wa mwezi utakuwa na elfu tisini na si milioni tisa,mbona hizi ni hesabu za vidudu au hukupita vidudu mkuu...
Mkuu hi itakuwa kwa mwaka Mana bond tu za serikari no 14% utt amis ni 1% per monthI doubt kwamba bank inakupa 9%kila mwezi. Yaani maana yake baada ya mwaka nilisha double capital yangu. Hii sii balaaa
I doubt kwamba bank inakupa 9%kila mwezi. Yaani maana yake baada ya mwaka nilisha double capital yangu. Hii sii balaaa
Bond percent zimeshushwa na BOTMkuu hi itakuwa kwa mwaka Mana bond tu za serikari no 14% utt amis ni 1% per month
Hupati hiyo 90,000 kila mwezi. Hiyo 90,000 % ya mwaka mzima. Tena hapo bado hawajakata kodi/tozo ya serikali. Inayobaki sasa ndio pesa yako ya mwaka mzima. Sasa hapo gawanya kwa miezi 12.I doubt kwamba bank inakupa 9%kila mwezi. Yaani maana yake baada ya mwaka nilisha double capital yangu. Hii sii balaaa
Nimejiunga uko sio desi kujua vizuri sikiliza YouTubeHii nayo nimeisikia sana kwa watu,ila naona yasije yakaja kutokea kama yale ya desi
Kupata atm zao ndo kisangaEquity bank hawana makato yoyote kama mpaka ukienda kutoa ndo wanakata kidogo.
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
DuhAsilimia 9 kila mwezi? R u sure? Yaani niweke million kila mwisho wa mwezi nina million 9?
Mahesabu jamani!!! Ni shidaAsilimia 9 kila mwezi? R u sure? Yaani niweke million kila mwisho wa mwezi nina million 9?
Sio kila mwezi ni 9%kwa mwakaFungua account ya CRDB ya mzigo flexa ambayo inakupa asilimia 9 kila mweziii ya ela ulioweka na kiwango Cha chni Cha kusave ni million 1 unaeza ukaongeza pia na unawezaa kutoa faida yako kila mweziii piaa
Ni bora kuliko kusave ela invest ela.
faida yake ipoje,na wanatoa asilimia ngapi faida kwa pesa utakayowekaBank ya Posta(Wadu) Ila ni Akaunti ya malengo.
tafuta kuna uzi humu jamii forum ukishajadili hayo mambo kwa kinaUtt ni nini? Wengine hatujui jamani
Equity Bank japo changamoto ni kuwa wapo tawi moja kila mkoa isipokuwa DarHabari wana JF,
Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora.
Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka kutoa pesa nyingi mfano million 5 kuendelea ni bank ipi yenye uhakika na isiyo na longo longo.
NB: Sifahamu chochote kuhusu banking ila nataka nifungue account, sasa nimekua nikifatilia na kutafta kwa watu tofaut bila mafanikio naamin nitapata msaada asanteni.
Kufungua account kianzioEquity Bank it's the best.
But when it comes to ATM and branches mikoani changamoto IPO hapo.
20,000Kufungua account kianzio
Hii naifungua ksho na simbanking wanayo?20,000