Ni biashara gani ambayo haipatwi na deficit ya wateja

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Nataka niongeze kitu cha kufanya zaidi ya ninachofanya sasa lakini natafuta biashara ambayo hata mzunguuko wa pesa uwe mgumu kiasi gani mahitaji yake yawe palepale au hata yakipungua yasipungue Sana

Wadau wa biashara karibuni tupeane idea hapa
 
Biashara ya kuzuia njaa.
 
Chakula tu..
Mtu asipokula hakuna kingine anaweza waza..
Akishiba ndio mawazo mengine yanafuata
Ipi ni nzuri kati ya kuuza chakula kibichi au kilichoiva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…