Ni biashara gani ambayo haipatwi na deficit ya wateja

Ni biashara gani ambayo haipatwi na deficit ya wateja

Nataka niongeze kitu cha kufanya zaidi ya ninachofanya sasa lakini natafuta biashara ambayo hata mzunguuko wa pesa uwe mgumu kiasi gani mahitaji yake yawe palepale au hata yakipungua yasipungue Sana

Wadau wa biashara karibuni tupeane idea hapa
Biashara ambayo haipatwi na changamoto ya wateja ni biashara ambayo watoa huduma wake wanakuwa na customer care nzuri yaani lugha safi.
 
Biashara ya kuuza Chipsi hii biashara huwa inakuwa na good returning Ila changamoto yake ni kuwa inajitaji usimamizi mzuri.

Hii ndo biashara utauza maeneo yote uswahilini na ushuwani.
 
Biashara ya kuuza Chipsi hii biashara huwa inakuwa na good returning Ila changamoto yake ni kuwa inajitaji usimamizi mzuri.

Hii ndo biashara utauza maeneo yote uswahilini na ushuwani.
Hii nzuri sema inahitaji team work kuanzia mtu mbili au mtu tatu
 
Hii ni kweli maana watu lazima wale lakini sasa chakula cha aina gani
Ushawah kumwona mtu amekufa njaa bongo kwa sababu hajui wapi anunue chakula? Hii biashara ni risky sana kama unafanya kwa low scale...ukiwa supplier au distributor mkubwa hapo sawa
 
Ushawah kumwona mtu amekufa njaa bongo kwa sababu hajui wapi anunue chakula? Hii biashara ni risky sana kama unafanya kwa low scale...ukiwa supplier au distributor mkubwa hapo sawa
Nimekupata ahsante kwa ushauri kiongozi
 
Back
Top Bottom