Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Hii biashara ndio iliyompa utajiri Mzee Thomas Lymo mpaka akaja kuanzisha Tommy Milk. Anamiliki maeneo DSM GHOROFA mtaa Wa siku kuu Kariakoo, Hoteli Arusha, Shule Kimara DSM na Ranch Iringa. Huyu mwamba alinipa story ya maisha yake, alianza kusimamia biashara ya spea za magari mpaka akaja kufungua garage yake. Spea zina hela sana. Kwangu mimi biashara ambazo sielewi ni Barber Shop, Boutique na Wanamuziki. Hawa watu sielewi wanaingizaje faida ? Nimeshapangisha watu wanaofanya biashara hizo halafu wakaondoka ghafla. Ukiwauliza wanasema biashara ngumu. Sijawahi kusikia mtu anafanikiwa kwenye biashara hizi.Wauza spea za magarii