Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Hii biashara ndio iliyompa utajiri Mzee Thomas Lymo mpaka akaja kuanzisha Tommy Milk. Anamiliki maeneo DSM GHOROFA mtaa Wa siku kuu Kariakoo, Hoteli Arusha, Shule Kimara DSM na Ranch Iringa. Huyu mwamba alinipa story ya maisha yake, alianza kusimamia biashara ya spea za magari mpaka akaja kufungua garage yake. Spea zina hela sana. Kwangu mimi biashara ambazo sielewi ni Barber Shop, Boutique na Wanamuziki. Hawa watu sielewi wanaingizaje faida ? Nimeshapangisha watu wanaofanya biashara hizo halafu wakaondoka ghafla. Ukiwauliza wanasema biashara ngumu. Sijawahi kusikia mtu anafanikiwa kwenye biashara hizi.Wauza spea za magarii
Wale wengi tegesha wanadeal na illegal nyingi sanaMaduka ya IPhone pale Makumbusho...
kwa maana. Pale Frame ni gharama, maduka yapo mengi sana, matumizi yao binafsi, matumizi ya ofisi....halafu nikiangalia mtaani Techno, Infinix na Samsung ndiyo nyingi.
wanamuziki wa kibongo amna kitu mkuu afu wanapga mizinga balaaHii biashara ndio iliyompa utajiri Mzee Thomas Lymo mpaka akaja kuanzisha Tommy Milk. Anamiliki maeneo DSM GHOROFA mtaa Wa siku kuu Kariakoo, Hoteli Arusha, Shule Kimara DSM na Ranch Iringa. Huyu mwamba alinipa story ya maisha yake, alianza kusimamia biashara ya spea za magari mpaka akaja kufungua garage yake. Zoea zina hela sana. Kwangu mimi biashara ambazo sielewi ni Barber Shop, Boutique na Wanamuziki. Hawa watu sielewi wanaingizaje faida ? Nimeshapangisha watu wanaofanya biashara hizo halafu wakaondoka ghafla. Ukiwauliza wanasema biashara ngumu. Sijawahi kusikia mtu anafanikiwa kwenye biashara hizi.
Kila unapofanya muamala wa kutoa pesa mfano umetoa 10,000 makato ni 1200 labda hayo makato ndiyo faida yako wewe na mtandao husika mfano voda uchukua nusu ya makato kwa kila muamala unaofanywa na wakalaHili biashara ya uwakala mpesa/tigopesa wanapataje faida?
Wahusika ukiwauliza wanakuwa na majibu mepesi mepesi kama CCM ya kuwa inategemeana na idadi ya miamala ulofanya. Kwanini Hawana hesabu kamili kwamba Kila buku chako ni kiasi hiki?
Huyo akiuza pc 2000 ana milion 2 lakini nahisi faida anapata zaidi ya hyo bukuMie rafiki angu ana frem kkoo, ni zile ndogo ndogo, anauza vyupi, boxa vest.....anaenda kufata mzigo kule maduka ya jumla ambako vyupi 3 ni 9000 ye anauza 10000. Faida 1000
Ndo najiuliza hapo apate kodi laki na nusu, mshahara wa muuzaji laki na nusu, nauli ya kuja shop, msosi.....na mambo mengine [emoji848][emoji848]
Na kuna kipindi aliunganisha frem mbili kodi laki tatu
Niseme tu biashara zina siri
Unalo unalolitafuta ndugu? Mbona kakkoo maduka yamejaaMaduka ya IPhone pale Makumbusho...
kwa maana. Pale Frame ni gharama, maduka yapo mengi sana, matumizi yao binafsi, matumizi ya ofisi....halafu nikiangalia mtaani Techno, Infinix na Samsung ndiyo nyingi.
Nani amekudanganya hivi mkuu? Ingekuwa ivo mawakala wangekuwa mamilioneaKila unapofanya muamala wa kutoa pesa mfano umetoa 10,000 makato ni 1200 labda hayo makato ndiyo faida yako wewe na mtandao husika mfano voda uchukua nusu ya makato kwa kila muamala unaofanywa na wakala
AaaahaaaaaHela inaishia kwenye nguo,urembo na chakula, kula sn muhimu maana kukatikia mitwangio mingi afu size tofauti lazima ule vizuri ushibe
Mfadhili mkuu mmojawapo kazikiwa tayari, jipangeni.Jamiiforums ni kama Shirika lisilo la kiserikali hivyo linasaidia kukuza demokrasia hivyo wana wafadhili
Sasa itakuaje?!Linapewa msaada mpaka na USAID, UNDP hii ni NGO
Hivi nao wanakosaga wateja au pia ni biashara ya msimu?Wauza papuchi,. Mbona hawatajiriki wakati hawahitaji mtaji wao ni kuuza tu?
Hii atakusaidia kayombo tips aka serForex na Kubet