Ni biashara gani inalipa kama huna nishati ya umeme?

Ni biashara gani inalipa kama huna nishati ya umeme?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Habari wana jamvi,

Naomba tubadilishane mawazo kwenye hili, mara nyingi kumekuwa na biashara au fursa nyingi zenye kuhitaji nishati ya umeme na hivyo kupelekea kupata faida ndogo kutokana na gharama za uendeshaji.

Sasa basi hebu tujuzane wakuu ni biashara gani zinalipa iwapo huna nishati ya umeme usiyoilipia.
[/SIZE]
 
Fanya biashara ya mkaa inalipa sana na haiitaji nishati ya umeme.
 
Wakuu samahani title yangu nilitaka kumaanisha kuwa km una umeme na hulipii ni biashara gani itanitoa?
 
Back
Top Bottom