Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Wana jf, naombeni msaaada wa biashara gani inafaaa? kufanya...! nna mtaji wa kama m5 hivi bt stil sijajua ni bzness gani nitafanya...msaada wa mawazo jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jf, naombeni msaaada wa biashara gani inafaaa? kufanya...! nna mtaji wa kama m5 hivi bt stil sijajua ni bzness gani nitafanya...msaada wa mawazo jamani.
Fungua duka lolote pale Samunge Loliondo inalipa sana kwa sasa.
Wana jf, naombeni msaaada wa biashara gani inafaaa? kufanya...! nna mtaji wa kama m5 hivi bt stil sijajua ni bzness gani nitafanya...msaada wa mawazo jamani.
Duh! mkuu jamani hata kainterest kabiashara yeyote huna jamani! Ok jaribu kufikiria biashara hii and make sure umefanya survey katika eneo unapo ishi. Kama uko Dar buy mitungi ya gas 30 ya kilo 15 and 30 ya kila 6. (Biashara ya domestic Gas inalipa sana hapo Dar) Sasa ifanye kwa style tofauti. Weka M-Pesa pia hapo kwako. Pia kodisha pikipiki moja kwanza (most of the owners wa pikipiki they need elfu 6 kwa siku, kwa mwezi ni 180,000) kijana wa kuedesha pikipiki kubaliana nae. anatakiwa afanye kazi within maeneo ya ofisi yako. Use him to do "Cooking Gas home delivery" whereby mteja will just make a call anytime then anatao direction alipo so kijana wako will just deliver Gas within 15min. Print vipeperushi visambaze katika eneo unapo ishi au ofisi yakoilipo. Sehemu nzuri ya kusambazia vipeperushi kama hivyo ni karibu na misikiti au kanisa baada ya ibada, jumapili au Ijuma. Therefore kutokana na faida ya mitungi ya 15kg if you can distribute mitungi yote 30 in a day it means you have not less than 65,000 unlike mitungi ya 6kg. Guys hapo Dar there are alot of businesses but one has to be so creative and business oriented. To deal with biashara ya huduma kwa jamii it pays alot. Mkuu huwezi poteza pesa yako ila am very sure demand ndio itakushinda usipo kuwa makini.
Wana jf, naombeni msaaada wa biashara gani inafaaa? kufanya...! nna mtaji wa kama m5 hivi bt stil sijajua ni bzness gani nitafanya...msaada wa mawazo jamani.
Duh! mkuu jamani hata kainterest kabiashara yeyote huna jamani! Ok jaribu kufikiria biashara hii and make sure umefanya survey katika eneo unapo ishi. Kama uko Dar buy mitungi ya gas 30 ya kilo 15 and 30 ya kila 6. (Biashara ya domestic Gas inalipa sana hapo Dar) Sasa ifanye kwa style tofauti. Weka M-Pesa pia hapo kwako. Pia kodisha pikipiki moja kwanza (most of the owners wa pikipiki they need elfu 6 kwa siku, kwa mwezi ni 180,000) kijana wa kuedesha pikipiki kubaliana nae. anatakiwa afanye kazi within maeneo ya ofisi yako. Use him to do "Cooking Gas home delivery" whereby mteja will just make a call anytime then anatao direction alipo so kijana wako will just deliver Gas within 15min. Print vipeperushi visambaze katika eneo unapo ishi au ofisi yakoilipo. Sehemu nzuri ya kusambazia vipeperushi kama hivyo ni karibu na misikiti au kanisa baada ya ibada, jumapili au Ijuma. Therefore kutokana na faida ya mitungi ya 15kg if you can distribute mitungi yote 30 in a day it means you have not less than 65,000 unlike mitungi ya 6kg. Kuhusu M-Pesa, it won't be a must for a customer to pay cash hata akiwa na M-Pesa you do accept lakini you have to charge kama vile atakavyo taka cash. Therefore mteja akiwa ofisini akijulishwa Gas imeisha will just send you M-Pesa then unadeliver Gas nyumbani kwake. Guys hapo Dar there is alot of businesses but one has to be so creative and business oriented. To deal with biashara ya huduma kwa jamii it pays alot. Mkuu huwezi poteza pesa yako ila am very sure demand ndio itakushinda usipo kuwa makini.
Hii nimeipenda lakini ina specific maeneo km Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach na sio Buguruni kwa Mnyamani, Manzese Kwa Mfuga mbwa nk nk

si kweli kwani nani asiyetumia gas kwa sasa na nani asiyejua MMPESA tena maeneo ya mfuga mbwa ndio vibanda vya mpesa kibao,nafikiri tena kama hamna taht will be BLUE OCEAN u should have the UNCONTESTED MARKET THEREHii nimeipenda lakini ina specific maeneo km Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach na sio Buguruni kwa Mnyamani, Manzese Kwa Mfuga mbwa nk nk
fungua kagrocery ka matunda na fresh juice. Unaweza kutafuta orders maofisini ukawa unawapelekea fruit dishes kila siku mida ya lunch.
nzuri ila ngumu kwa wananume hasa wenye elimu kiasi,ila kwa wadada wa atandard seven its the choice