Biashara ya "sembe " mkuu.
Ok, kama una elimu ni kweli hii haitakufaa maana bila shaka wewe ni meneja au waziri au katibu mkuu wa wizara au balozi wa nchi huko ng'ambo...!!!nzuri ila ngumu kwa wananume hasa wenye elimu kiasi,ila kwa wadada wa atandard seven its the choice
watu wengi huwa wanadharau biashara fulani kwa kujiona wana elimu ya darasani!!
Kuna mama mmoja alikuwa anahojiwa anasema katika biashara yake ya kukaanga mihogo anapata faida ya elf 10. Anaanza kazi sa moja hadi sa sita mihogo ishaisha.
Ukipiga mahesabu kwa mwezi utaona faida yake.
Nina uhakika kuna watu wapo kwenye ofisi za watu zenye majina makubwa ila mishahara yao hata laki haifiki na wanatumika asbuh hadi jioni.
Inawezekana vielimu walivyonavyo wanaona kuna baadhi ya biashara hawastahili kuzifanya. Inawezekana wewe ni mmojawapo.
AhahahahahahàaaaaaaBiashara ni ngumu sana, inataka usimamizi wa hali ya juu, usipokuwa makini utabaki kusimulia kuwa nilikuwa na 5m/= juzi juzi zimekwisha, ukiweza weka kwenye fixed deposit, kama bado ipo, then tulia tuli.
ndo ushauri gani sasa huu yani sisi wa TZ tuna kazi kweli yani.Biashara ni ngumu sana, inataka usimamizi wa hali ya juu, usipokuwa makini utabaki kusimulia kuwa nilikuwa na 5m/= juzi juzi zimekwisha, ukiweza weka kwenye fixed deposit, kama bado ipo, then tulia tuli.