Ni biashara gani inalipa??

Ni biashara gani inalipa??

nzuri ila ngumu kwa wananume hasa wenye elimu kiasi,ila kwa wadada wa atandard seven its the choice
Ok, kama una elimu ni kweli hii haitakufaa maana bila shaka wewe ni meneja au waziri au katibu mkuu wa wizara au balozi wa nchi huko ng'ambo...!!!
 
watu wengi huwa wanadharau biashara fulani kwa kujiona wana elimu ya darasani!!
Kuna mama mmoja alikuwa anahojiwa anasema katika biashara yake ya kukaanga mihogo anapata faida ya elf 10. Anaanza kazi sa moja hadi sa sita mihogo ishaisha.
Ukipiga mahesabu kwa mwezi utaona faida yake.
Nina uhakika kuna watu wapo kwenye ofisi za watu zenye majina makubwa ila mishahara yao hata laki haifiki na wanatumika asbuh hadi jioni.
Inawezekana vielimu walivyonavyo wanaona kuna baadhi ya biashara hawastahili kuzifanya. Inawezekana wewe ni mmojawapo.

Na hapo ndipo elimu yaweza kuwa mkombozi au janga inategemea na msomi mwenyewe.
 
Biashara ni ngumu sana, inataka usimamizi wa hali ya juu, usipokuwa makini utabaki kusimulia kuwa nilikuwa na 5m/= juzi juzi zimekwisha, ukiweza weka kwenye fixed deposit, kama bado ipo, then tulia tuli.
Ahahahahahahàaaaaaa
 
Biashara ni ngumu sana, inataka usimamizi wa hali ya juu, usipokuwa makini utabaki kusimulia kuwa nilikuwa na 5m/= juzi juzi zimekwisha, ukiweza weka kwenye fixed deposit, kama bado ipo, then tulia tuli.
ndo ushauri gani sasa huu yani sisi wa TZ tuna kazi kweli yani.
 
duuuh kweli kuitafuta pesa ndipo uanze kuwaza uifanyie nini its hard game KIKUBWA CHA KUKUSHAURI WAONE CONSULTANCY wapo wengi au jiangalie kipi unakipenda ukitaka ufanye biashara kisa pesa utaumia maana utakosa passion na nidhamu ya fedha waone wakushauri kwanza au vipi mtafute mfanyabiashara aliyefanikiwa eneo lakp akushauri
 
Back
Top Bottom