Ni biashara gani naweza anzisha yenye mtaji mdogo?

girango

Member
Joined
Jun 28, 2021
Posts
13
Reaction score
5
Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
 
Biashara ya uchawa sasa hivi bongo ndio biashara kubwa sana. (Utani tu )

Uza mihogo maji mahindi ya kuchemsha pesa hapa ipo sema watu wanachukulia easy sana.
 
Ko ata Kama na mtaji ka laki mbili na nusu hivi
 
Tafuta mkokoteni used kama elfu 40‐60
Mpe kijana auze miwa au machungwa kwa siku hesabu elfu 5 au kitu chochote kinachoendana na hicho inalipa mkuu
 
Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
Bro Dm tuchange mawazo.Nipo hapa Tarime
 
Back
Top Bottom