Huo ni mtaji mdogo kwa biashara kubwa, lakini kwa biashara ndogo ndogo ni mtaji mkubwa sana. Kuna biashara ambayo anaweza kuingiza faida ya hadi 20,000/= kwa siku.kwa mtaji huo mdogo kaanga chips kisha weka soda
Mkuu bodaboda inalipa kiasi hiki?Ungekuw na bodaboda Ni uhakika hiyo 7-10
Hahah naona unamleta kundiniKabeti
Mkuu hunijui.Kuandika ni rahisi sana kuliko uhalisia...
tena kama anaendesha mwenyewe mpaka kufikia saa saba mchana anaenda kulaza pikipiki.Mkuu bodaboda inalipa kiasi hiki?
Aisee umenishawishi hii biashara nilifikilia kuifanya Sema sijapata kijana muaminifutena kama anaendesha mwenyewe mpaka kufikia saa saba mchana anaenda kulaza pikipiki.
Kijana mwaminifu nipo hapaAisee umenishawishi hii biashara nilifikilia kuifanya Sema sijapata kijana muaminifu