Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Vijana kata K wana shida hawa.

Uwezo wako wa kifikiri ni mdogo sana ata wa kureason pia utakua mdogo sina shaka.

Wewe unaamini kila palipo na mkusanyiko ni fursa utafeli sana kama ndo ivi Tz tunasafari ndefu sana
 
S

kumbe umejipanga, kuna mdau kasema uende karume uchukue viatu vya mtumba vya wadada kwa elf50 tu

Pia kuna jamaa yangu ye anauza mitandio ya wadada na baadhi ya nguo kwa buku mbili tu, ye anadai mtaji wake ni elf20 na anapata faida elf 50 hadi 70 kwa week, maana yake kila vikiisha anaenda kuchukua mzigo wa elf 20 kisha anatembeza mitaani, huyu nafanya nae kazi maana kuna mingine huwa anatuletea kazini tunanunulia wake zetu
Mzigo anachukulia tandika pale anasema ili upate bidhaa nzuri unapaswa kuwahi saa kumi na mbili kuna duka analochukulia mzigo naweza kukupatia mawasiliano yake akakupa mwongozo
Nipe Mawasiliano mkuu ya huko Tandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.

Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.

Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.

Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...

Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
Nenda lumumba kajiandikishe kusifia fisiemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom