Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Dar Kuna hela, mkoani utapotea
Angalia biashara ndigodogo Tandika, mtoni , mbagala hayo Maeve Yana watu wengi Sana hata ukitaka kukesha utakesha unauza

Uwezo wako wa kifikiri ni mdogo sana ata wa kureason pia utakua mdogo sina shaka.

Wewe unaamini kila palipo na mkusanyiko ni fursa utafeli sana kama ndo ivi Tz tunasafari ndefu sana
 
Uwezo wako wa kifikiri ni mdogo sana ata wa kureason pia utakua mdogo sina shaka.

Wewe unaamini kila palipo na mkusanyiko ni fursa utafeli sana kama ndo ivi Tz tunasafari ndefu sana
We mtu akitofautiana na wewe mtazamo tayari unaona uwezo wake kufikiri ni mdogo sio ? Hivi dunia ingekua na watu wana mawazo uniform kuna jambo lingesogea kweli ?

La mwisho kua mstaarabu , kujificha nyuma ya simu mpapaso sio kigezo cha kutusi mtu mwingine, hoja hupingwa kwa hoja iliyo bora zaidi sio matusi
 
Uwezo wako wa kifikiri ni mdogo sana ata wa kureason pia utakua mdogo sina shaka.

Wewe unaamini kila palipo na mkusanyiko ni fursa utafeli sana kama ndo ivi Tz tunasafari ndefu sana
Kutokana na mtaji wake, anaweza kufanya biashara ndogo ndogo na maeneo yenye watu wengi yatamfaa zaidi lakini angekuwa na mtaji mkubwa isingekuwa shida
Akianza na huo mtaji kwenye maeneo ya watu wengi Ana uhakika was kuuza walau kidogo kwa siku
 
We mtu akitofautiana na wewe mtazamo tayari unaona uwezo wake kufikiri ni mdogo sio ? Hivi dunia ingekua na watu wana mawazo uniform kuna jambo lingesogea kweli ?

La mwisho kua mstaarabu , kujificha nyuma ya simu mpapaso sio kigezo cha kutusi mtu mwingine, hoja hupingwa kwa hoja iliyo bora zaidi sio matusi

Sasa apo umeona kuna tusi gani ?
Ivi kweli kwa Great thinker anaweza sema kwamba kutafuta mahala penye mkusanyiko ndo kutusua uliona wapi? Mfano Mwambie aende weka biashara yake k koo pembeni ya barabara kisa kuna watu wengi unafikiri ni wa ngapi watafanya kama yeye na unaisi utakua umemsaidia au ndo kutengeneza hali mbaya zaidi hii sio kwake tu ata kwa Serikali ningewaambia wanauwezo mdogo wa kufikiri na ndo ukweli hauwezi ukaweka Mayai trei nzima katika mfuko Mmoja yatavunjika tu, why usitawanye kupeleka maeneo mengine ili yaendeelee na ndo maana tunaona utitiri wa biashara zinazofanana eneo moja mwisho wa siku kupelekea msongamano mkubwa na foleni mabadabarani.

Biashara inategemea mambo mengi kuna watu wanauza bidhaa zao wakiwa nyumban na wateja wanawafata ila kudanganya mtu eti atafute mahala penye msongamano aweke biashara sio ushauri mzuri
Kua na jicho la kuona mahala flani ni pazuri kwa biashara ambapo wengine hawajapaona ni kipaji pia na ndo maana nasema tutaendelea lalamika sana.

Uwezo wa kubuni na kufikilia vitu vipya hatuna tumekua watu wa kukatiri maisha na kupaste idea za watu
 
Sasa kun mchizi alisikia hilo katazo akaona apitishe chocho za huko bunda!....njia nzima wnauliza watu wao wanaambiwa njooni tu kuko shwari..alikua na mwezake .lori km 3!anakuambia akamkuta waziri kajaa pale(nimemsahau jina)kifup mahindi yakataifishwa[emoji26][emoji26]!yakauzwa kwa wananchi kwa bei ya kutupa!anasema alizika 70m pale pale!huwez amin nimemwajiri nw...analewa tu gongo!
Kilimo nakiogopa sana! Yaani kilimo kimenipiga chenga ya mwili kwa sasa nimeamua nikae Chini kwanza niwaze na kuwazua.
 
CALLION, kumwambia mtu una IQ ndogo huko ni kumtusi , hilo n moja

Jambo la pili , nature ya biashara ndio inaamua utahitaji eneo la aina gani uweze ifanya ... Mdau wa kwanza katoa ushauri mzuri tu , kwa mtu mwenye mtaji mdogo au biashara ndogo ndogo, ili biashara idumu nae aishi lazima awe na mzunguko mzuri wa biashara , namna ya kupata mzunguko huo ni pamoja na kua na goli eneo lenye watu wengi , uwezekano wa kua na mzungoko wa biashara ni mkubwa, hiyo ni option tu ,anaweza ku opt nyingine yeyote ile ambayo yeye anaona inamfaa

Mimi n mfanya biashara , nafanya kwa kuuza kwa njia ya mtandao, eneo nalofanya uzalishaj wa bidhaa haliko wazi, haliko mitaa ya baraban, liko nyuma..wala ukipita huwez jua n nn kinaendelea humo ndani .....nina soko langu nina wateja wangu, mwaka wa pili huu sasa, wengine maisha yetu yanategemea biashara 100%..hakuna wazo lililo baya, namna ya kutekelezA ndio hua shida

Hakunaga cha u great thinker kwenye biashara, kuna watu wenye uthubutu , uvumilivu , nidhamu , kujifunza , kutokukata tamaa na heshima
 
Uwezo wako wa kifikiri ni mdogo sana ata wa kureason pia utakua mdogo sina shaka.

Wewe unaamini kila palipo na mkusanyiko ni fursa utafeli sana kama ndo ivi Tz tunasafari ndefu sana
Kabisa kaka nilikwenda Dar miezi miwili nikatamani nirudi mkoani hata kwa mguu Dar ni kwenda kutumia faida Unarudi kuzisaka mikoani
 
Back
Top Bottom