CALLION, kumwambia mtu una IQ ndogo huko ni kumtusi , hilo n moja
Jambo la pili , nature ya biashara ndio inaamua utahitaji eneo la aina gani uweze ifanya ... Mdau wa kwanza katoa ushauri mzuri tu , kwa mtu mwenye mtaji mdogo au biashara ndogo ndogo, ili biashara idumu nae aishi lazima awe na mzunguko mzuri wa biashara , namna ya kupata mzunguko huo ni pamoja na kua na goli eneo lenye watu wengi , uwezekano wa kua na mzungoko wa biashara ni mkubwa, hiyo ni option tu ,anaweza ku opt nyingine yeyote ile ambayo yeye anaona inamfaa
Mimi n mfanya biashara , nafanya kwa kuuza kwa njia ya mtandao, eneo nalofanya uzalishaj wa bidhaa haliko wazi, haliko mitaa ya baraban, liko nyuma..wala ukipita huwez jua n nn kinaendelea humo ndani .....nina soko langu nina wateja wangu, mwaka wa pili huu sasa, wengine maisha yetu yanategemea biashara 100%..hakuna wazo lililo baya, namna ya kutekelezA ndio hua shida
Hakunaga cha u great thinker kwenye biashara, kuna watu wenye uthubutu , uvumilivu , nidhamu , kujifunza , kutokukata tamaa na heshima