Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
SawaKijana mwaminifu nipo hapa
Mkuu ubarikiwe hivyo ndivyo inavyo takiwa maisha kusaidianaKuna mahala safi pamechangamka unaweza ukapika supu ya utumbo,kongoro na ndizi
Mahitaji ni meza, vyombo na kununua vyakula ..
Ila biashara inabamba wakazi Wa usiku ...Kuhusu eneo tutaelewana...
Cheza single betting. Weka under 5 mara nyingi hula kwa hiyo laki 2 hukosi 10 kwa sikuNimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.
Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.
Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.
Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...
Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
Mkuu ubarikiwe hivyo ndivyo inavyo takiwa maisha kusaidiana
lini unanitumia nauli sasa nitoke uku kijijini sasa,Sawa
Katika hiyo hela...toa hapo 50,000 tu....damka saa 9 usiku Anza safari ya kwenda karume..natumaini mpk kufikia saa 11 Alfajiri utakuwa umeshafika Karume nenda ka point viatu vya mtumba vya kike...maana itakuwa rahisi kuvijua vizuri ni vipi...anza kupitisha mtaani...hautojuta hiyo hela unayoitaja ni faida ya pair moja tu ya kiatu...Muhimu ujue kuchagua. Niliwahi kufanya hiyo biashara ina faida Sana ingawa watu wanawadharau Machinga ila Kuna Siri kubwa wasiyo ifahamu. Kupata faida ya Tsh 40,000 kwa siku ni Jambo la kawaida, muhimu uwe pointer mzuri.niko dar sasa hivi, Ila fursa hata ikiwa mkoani nitaifata.
Omba luhusa kwanza kwa mkeo Sakayo akitoa ruhusa utanifahamishalini unanitumia nauli sasa nitoke uku kijijini sasa,
AmeenThanks baraka ziwe na kwako pia
Namba 2 akizingatia atapata faida hata zaidi ya hiyo anayotaka ila no 3 kwa mtaji wake ni ngumu kidogo1. kama upo dar es saalam, anza kutengeneza kahawa na kasheti; tafuta vijana waamifu 5 waanze kukutembezea
2. Tafuta meza ya matunda Eneo lolote la chuo ama sehemu nzuri ile ya watu waliostaarabika wanaojali afya na kujua umuhimu wa kula wa matunda.
3. Fungua genge la chakula sehemu zilizochangamka tafuta wadada wasafi na mvuto kiasi wakuzunguka vijiweni na maofisini kukuuzia na kukutafutia masoko. Chakula kitamu na bei iwe inaendana na hali za watanzania.usitake faida kubwa
4. Wengine wataendelea zipo nyingi tu naamini
Hii biashara iko vizuri best yangu anafanya hii anasifia inalipa kiasiKatika hiyo hela...toa hapo 50,000 tu....damka saa 9 usiku Anza safari ya kwenda karume..natumaini mpk kufikia saa 11 Alfajiri utakuwa umeshafika Karume nenda ka point viatu vya mtumba vya kike...maana itakuwa rahisi kuvijua vizuri ni vipi...anza kupitisha mtaani...hautojuta hiyo hela unayoitaja ni faida ya pair moja tu ya kiatu...Muhimu ujue kuchagua. Niliwahi kufanya hiyo biashara ina faida Sana ingawa watu wanawadharau Machinga ila Kuna Siri kubwa wasiyo ifahamu. Kupata faida ya Tsh 40,000 kwa siku ni Jambo la kawaida, muhimu uwe pointer mzuri.
Yani nina uhakika nayo...maana nimefanya kwa kipindi Kama miezi 6 hivi kama mtu una malengo... unaweza kupata mtaji mzuri tuHii biashara iko vizuri best yangu anafanya hii anasifia inalipa kiasi
Unajua kuna biashara watu tunazichukulia sipo lakini pesa ya kula hukosi na faida kiasiYani nina uhakika nayo...maana nimefanya kwa kipindi Kama miezi 6 hivi kama mtu una malengo... unaweza kupata mtaji mzuri tu
Achana nayo!! Ni biashara kichaa! Kama unaweza kufanya mwenyewe sawa ila km ni kumkabidhi mtu pesa yako tafuta la kufanya.Aisee umenishawishi hii biashara nilifikilia kuifanya Sema sijapata kijana muaminifu
Mimi she sitaweza kuendesha bodaboda mkuu ila inanishawishi nifanye biashara hiyoAchana nayo!! Ni biashara kichaa! Kama unaweza kufanya mwenyewe sawa ila km ni kumkabidhi mtu pesa yako tafuta la kufanya.
Ushauri mzuri1. kama upo dar es saalam, anza kutengeneza kahawa na kasheti; tafuta vijana waamifu 5 waanze kukutembezea
2. Tafuta meza ya matunda Eneo lolote la chuo ama sehemu nzuri ile ya watu waliostaarabika wanaojali afya na kujua umuhimu wa kula wa matunda.
3. Fungua genge la chakula sehemu zilizochangamka tafuta wadada wasafi na mvuto kiasi wakuzunguka vijiweni na maofisini kukuuzia na kukutafutia masoko. Chakula kitamu na bei iwe inaendana na hali za watanzania.usitake faida kubwa
4. Wengine wataendelea zipo nyingi tu naamini
Kama unaweza kukomaa na hutaki sound sound ukawa unavimba kiume utaimudu Ila haya madogo ukiyalegezea yatakusumbua sanaMimi she sitaweza kuendesha bodaboda mkuu ila inanishawishi nifanye biashara hiyo
Mamy hiyo ni nzuri inshaallah mwezi ujao naingia kwenye hii kituAisee umenishawishi hii biashara nilifikilia kuifanya Sema sijapata kijana muaminifu