Sema kuna watu wa karibu wananitisha unaweza kumpatia kijana boda akakudanganya ameibiwa.Kama unaweza kukomaa na hutaki sound sound ukawa unavimba kiume utaimudu Ila haya madogo ukiyalegezea yatakusumbua sana
Mungu akubariki sana ZeshchrissMamy hiyo ni nzuri inshaallah mwezi ujao naingia kwenye hii kitu
Mnaandikishiana kwa mwenyekiti huko na kila kitu mnapeana kwa mkataba wa mwaka mmoja .....mwaka ukifika boda inakua ya kwakeSema kuna watu wa karibu wananitisha unaweza kumpatia kijana boda akakudanganya ameibiwa.
Asante mpenzi....wacha nipambane halafu aje mwanaume anisumbue atajuta nina hasira nao sana hawa viumbeMungu akubariki sana Zeshchriss
Hawakutishi wanakuambia ukweli ndo maana nikakwambia kama unaweza kukaza kiume mtaenda sawa kivyovyote. Ila akikuchukulia ni she tu na wewe upo upo hiyo hela Fanya mengineSema kuna watu wa karibu wananitisha unaweza kumpatia kijana boda akakudanganya ameibiwa.
Ntakuja kivingine tu. Sasa utaamua mwenyewe hizo hasira unimalizie Mimi au vipAsante mpenzi....wacha nipambane halafu aje mwanaume anisumbue atajuta nina hasira nao sana hawa viumbe
Tatizo mimi sio mkali, Shukrani nimeupokea ushauri wakoHawakutishi wanakuambia ukweli ndo maana nikakwambia kama unaweza kukaza kiume mtaenda sawa kivyovyote. Ila akikuchukulia ni she tu na wewe upo upo hiyo hela Fanya mengine
ahahahahahahah tulia hukoNtakuja kivingine tu. Sasa utaamua mwenyewe hizo hasira unimalizie Mimi au vip
😀😀😀😀Mwanamke ukiwa unaweza kutafuta pesa hayo mengine hayakusumbuiAsante mpenzi....wacha nipambane halafu aje mwanaume anisumbue atajuta nina hasira nao sana hawa viumbe
Ndiondio kabisa yaani ......[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanamke ukiwa unaweza kutafuta pesa hayo mengine hayakusumbui
Fresh fresh..Tatizo mimi sio mkali, Shukrani nimeupokea ushauri wako
Kwann lakini hautaki faraja.ahahahahahahah tulia huko
Subiri mpaka ninunue gari kwanza ndo nitahitaji farajaKwann lakini hautaki faraja.
Kwan bado sh ngapi ..naona kama moyo kuguswa hiviSubiri mpaka ninunue gari kwanza ndo nitahitaji faraja
Mzee baba usiniangushe hapo😀😀😀😀Kwan bado sh ngapi ..naona kama moyo kuguswa hivi
Umenipata wazo kaka1. kama upo dar es saalam, anza kutengeneza kahawa na kasheti; tafuta vijana waamifu 5 waanze kukutembezea
2. Tafuta meza ya matunda Eneo lolote la chuo ama sehemu nzuri ile ya watu waliostaarabika wanaojali afya na kujua umuhimu wa kula wa matunda.
3. Fungua genge la chakula sehemu zilizochangamka tafuta wadada wasafi na mvuto kiasi wakuzunguka vijiweni na maofisini kukuuzia na kukutafutia masoko. Chakula kitamu na bei iwe inaendana na hali za watanzania.usitake faida kubwa
4. Wengine wataendelea zipo nyingi tu naamini
Kama m 3 hivi sasa sitaki msaada nazitafuta mwenyewe mpaka zitimie......Kwan bado sh ngapi ..naona kama moyo kuguswa hivi