Samuel Malenda
Member
- Aug 21, 2023
- 8
- 8
Biashara ya kuchoma nyama za kuku.Tafadhali naomba msaada wenu wa Mawazo wadau
Ni biashara gani yeyote ya mitaji ya chini ninaweza kufanya ikanipatia faida kuanzia 10k kwa siku?
Dar Es Salaamumelenga mazingira ya wapi? Ulipo
Hii iko vipi maelekezo kidogo?Biashara ya kuuza mchanganyiko wa lishe ya kuongeza nguvu za kiume.
Elfu kumiHivi iyo 'K' inawakilisha nini
00, 000 au 0000 natatizika ,baada ya hapo tukushauri...!
Maana Biashara zipo nyingi..!
KwaiyoElfu kumi
Hujanielewa broKwaiyo
K= 10,000
Pale ulisema 10K
Unamaanisha 10 ร10,000 = 100,000 Faida..
Kupata faida Ya Laki kwa Siku kwa Mtaji Wa chini mpwa Sahau...!
Mitaji ya Chini huwa tunatafuta 'mkono uende Kinywani na njia ya Maliwato isiote Majani tu'.....
Mengine ni kujitafutia Sonona na Msongo mawazo..!
Yeah zozote tu broZipo nyingi ila zinahitaji uwe na roho ngumu, usione aibu
K= 1000Kwaiyo